Bao hilo la Ronaldo limemfanya afikishe Bao 290 kwa Real Madrid na kumuweka Nafasi ya 3 katika Ufungaji Bora katika Historia ya Klabu hiyo akiwa Bao 33 nyuma ya Mfungaji Bora Raul mwenye Mabao 323 huku Nafasi ya Pili ikishikwa na Alfredo Di Stefano mwenye Bao 305.
Monday, February 23, 2015
LA LIGA: ELCHE 0 vs 2 REAL MADRID, KARIM BENZEMA NA RONALDO WAIPANDISHA ZAIDI KILELENI REAL!
Bao hilo la Ronaldo limemfanya afikishe Bao 290 kwa Real Madrid na kumuweka Nafasi ya 3 katika Ufungaji Bora katika Historia ya Klabu hiyo akiwa Bao 33 nyuma ya Mfungaji Bora Raul mwenye Mabao 323 huku Nafasi ya Pili ikishikwa na Alfredo Di Stefano mwenye Bao 305.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment