BUKOBA SPORTS

Sunday, February 15, 2015

FA CUP - ARSENAL 2 vs 0 MIDDLESBROUGH, OLIVIER GIROUD AIPELEKA GUNNERS ROBO FAINALI! KILICHOBAKI NI KUTETEA KOMBE LAO!

Olivier GiroudGiroud(kuskoto) akishangilia bao lake la pili na mwisho kwa Arsenal.2-0Kipa hakuona ndani!!Wakipeana Pongezi Wachezaji wa Arsenal.Olivier Giroud aliipachikia bao la kuongoza kipindi kwanza dakika ya 27 akipewa pasi na Kieran Gibbs na baadae dakika ya anaiongezea bao la pili baada ya kuunganisha mpira wa kona uliopigwa na Alexis Sánchez dakika ya 29. Mpaka Mapumziko Arsenal 2-0 MiddlesbroughKocha wa Middlesbrough hoi..Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger akiwaza jambo wakati wa Mechi hiyo ambayo Vijana wake wameshinda bao 2-0.Mtanange ukiendelea...VIKOSI:
Arsenal: Szczesny, Chambers, Gabriel, Koscielny, Gibbs, Flamini, Cazorla, Welbeck, Ozil, Alexis, Giroud
Akiba: Martinez, Mertesacker, Monreal, Rosicky, Walcott, Coquelin, Akpom
Middlesbrough: Mejias, Fredericks, Omeruo, Gibson, Friend, Leadbitter, Clayton, Adomah, Tomlin, Kike, Bamford.
Akiba: Ripley, Nsue, Husband, Vossen, Reach, Whitehead, Woodgate.

No comments:

Post a Comment