BUKOBA SPORTS

Saturday, February 7, 2015

FULL TIME: TOTTENHAM 2 vs 1 ARSENAL, HARRY KANE APELEKA KILIO GUNNERS AICHAPA BAO ZOTE MBILI!!

Kipindi cha pili dakika 56 Harry Kane aliisawazishia bao Spurs na kufanya 1-1 dhidi ya Arsenal baada ya kutokea kona. Na dakika za lala salama dakika ya 86 Harry Kane aliwafunga bao la Ushindi Arsenal na kufanya 2-1 dhidi ya Arsenal ambao walianza kupata bao mapema dakika ya 11 kipindi cha kwanza.2-1Harry Kane kwenye Dunia ya peke yake sasa!!!.Amfunika Cazorla!!Mesut Özil dakika ya 11 aliipachikia bao Arsenal baada ya kupokea pasi kutoka kwa Olivier Giroud aliyepigiwa  krosi safi na Danny Welbeck, Hadi Mapumziko Spurs 0-1 Arsenal bao likifungwa mapema na OzilDakika  ya 11 kipindi cha kwanza Arsenal walikuwa wanashangilia bao la kwanza...Wenger akisalimiana na Kocha mwenzie wa Spurs muda mfupi kabla ya kipute kuanza
VIKOSI KAMILI: 
Tottenham: Lloris, Walker, Dier, Vertonghen, Rose; Bentaleb, Mason; Eriksen, Dembele, Lamela; Kane
Akiba: Vorm, Davies, Fazio, Chadli, Paulinho, Stambouli, Soldado

Arsenal: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Ramsey, Welbeck, Cazorla, Ozil, Giroud
Akiba: Szczesny, Gibbs, Gabriel, Flamini, Rosicky, Walcott, Akpom


VIKOSI:
Tottenham:
Lloris, Walker, Dier, Vertonghen, Rose, Bentaleb, Mason; Eriksen, Dembele, Lamela; Kane
Arsenal: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Ramsey, Welbeck, Cazorla, Ozil, Giroud


No comments:

Post a Comment