
2-2 mpira umemalizika White Hart Lane.

Harry Kane akiwa ameshika mpira baada ya kuisawazishia bao dakika za majeruhi baada ya kumalizia mpira uliotemwa kwa penati na kipa wa West Ham.
Diafra Sakho akishangilia bao lake la pili kwa West Ham dakika ya 62 kipindi cha pili. Bao la Spurs lilifungwa na Danny Rose dakika ya 81, Spurs nao waliongeza kasi kwa kulishambulia lango la West Ham na dakika ya 90 mtanange ukiwa kwenye dakika za nyongeza Harry Kane aliisawazishia bao kwa mkwaju wa penati 90' +6 na kumaliza mchezo kwa sare ya 2-2.
Cheikhou Kouyaté aliipachikia bao West Hma dakika ya 22 kipindi cha kwanza dhidi ya Spurs.
Diafra Sakho akishangilia na mwenzake Stewart Downing

Diafra akimpelekesha kipa wa Spurs

Bao

Danny Rose alitupia nae

Kipa wa West Ham Adrian akishangilia nae

Kouyate akifunga bao la kwanza

Meneja Sam wa Wes Ham kabanwa na Timu yake kutoka sare ya 2-2


Mark Noble na Nabil wakichuana vikali

Makocha wa Timu zote mbili wakisalimiana kabla ya Mtanange
VIKOSI:
Tottenham Hotspur: Lloris, Walker, Dier, Vertonghen, Rose, Mason, Bentaleb, Townsend, Dembele, Lamela, Kane.
Akiba: Soldado, Vorm, Fazio, Chadli, Eriksen, Stambouli, Davies.
West Ham: Adrian, Jenkinson, Reid, Tomkins, Cresswell, Noble, Song, Kouyate, Downing, Valencia, Sakho.
Akiba: Nolan, Jarvis, O'Brien, Collins, Demel, Jaaskelainen, Cole.
Refa: Jonathan Moss
RATIBA/MATOKEO
Jumapili Februari 22
Tottenham 2 v 2 West Ham
Everton 2 v 2 Leicester City
Southampton 0 v 1 Liverpool"
No comments:
Post a Comment