Stand United wanapata bao dakika ya 15 baada ya kupata kona..na mchezaji wa Stand kumaliza mpira huo langoni kwa kichwa na kumfunga Ivo Mapunda.Mpira umemalizika dakika 90 Stand United 1-0 Simba, Mpira huu pia ukitawaliwa na Vurugu za hapa na pale Stand United wakiumaliza wachezaji 9 Uwanjani na Simba 10 Kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga.
No comments:
Post a Comment