BUKOBA SPORTS

Sunday, February 22, 2015

FULL TIME: MBEYA CITY 1 vs 3 YANGA SC, HATARI YANGA HAWASHIKIKI KILELENI!

Yanga, Leo huko Sokoine, Jijini Mbeya wamepaa kileleni wakiwa Pointi 5 mbele ya Timu ya Pili na Mabingwa Watetezi, Azam FC, baada ya kuichapa Mbeya City Bao 3-1.
Bao za Yanga hii Leo zilifungwa na Simon Msuva, Mrisho Ngassa na Amisi Tambwe wakati lile la Mbeya City lilipachikwa na Peter Mapunda.

Mpira ni Mapumziko Yanga wanaongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Wenyeji wao Mbeya City. Saimon Msuva alifunga bao la kwanza.
DAKIKA YA 59 Yanga wanapata bao kupitia kwa Mrisho Ngassa
Nao Mbeya City walipata bao dakika ya 68 na kufanya 2-1.

BAO la tatu kwa Yanga lilifungwa na Khamis Tambwe kipindi cha pili.

No comments:

Post a Comment