BUKOBA SPORTS

Sunday, February 22, 2015

FULL TIME: EVERTON 2 vs 2 LEICESTER CITY, LUKAKU ASAIDIA TIMU KUTOKA SARE HII LEO KWAO GOODSON PARK!

BAO za Leicester City zilifungwa na David Nugent dakika ya 63 na dakika ya 70 Esteban Cambiasso aliwafungia bao la pili na kufanya 2-1. Everton waliongeza kasi na bidii dakika za majeruhi dakika ya 89 Lukaku akiwa na Mchezaji wa Leicester City Matthew Upson alilazimisha kwa vichwa kutokea bao la kujifunga wao wenyewe na lile la kwanza la Everto lilifungwa mapema kipindi cha pili na Steven Naismith dakika ya 57. Mtanange huo umemalizika kwa 2-2 na sare hii inambakisha Leicester City nafasi ya Mkiani wakiwa na pointi 18 na Everton wanakalia nafasi ya 12 wakiwa na pointi zao 28. Mechi inayofuata ni Southampton na Liverpool muda mfupi ujao saa 7:15.

VIKOSI:
Everton:
Howard, Baines, Jagielka (c), Stones, Coleman, McCarthy, Besic, Barkley, Naismith, Lennon, Lukaku
Akiba: Joel, Gibson, Kone, Mirallas, Atsu, Garbutt, Alcaraz

Leicester City: Schwarzer, Konchesky, Morgan (c), Upson, James, Huth, Schlupp, Simpson, Cambiasso, Mahrez, Kramaric
Akiba: Hamer, Vardy, King, Hamer, Ulloa, Wasilewski, Nugent 
Jeff Schlupp na Seamus Coleman kwenye patashika

Kocha wa Everton Roberto Martinez

No comments:

Post a Comment