BUKOBA SPORTS

Friday, February 20, 2015

MOSES BUSHANGAMA "MEZ B" AFARIKI DUNIA LEO

Mwanamuziki Moses Bushangama maarufu kama Mez B amefariki dunia. Mez B alikuwa mmoja wa wanamziki wanaounda kundi la Chamber squard,amefariki leo mjini Dodoma, habari hizi zimethibitishwa na mama yake mzazi.
R.I.P Mez B
Taarifa ya kifo cha Mez B zimethibitishwa na mama yake mzazi, na kwamba alikuwa amelazwa kwenye Hospitali ya Mwananchi.
Mez B amewahi kulazwa na kuruhusiwa mara kadhaa katika hospitali ya Dodoma na hivi karibuni alizidiwa na kulazwa mkoani humo mpaka umauti ulivyompata

No comments:

Post a Comment