BUKOBA SPORTS

Tuesday, February 10, 2015

PADDY McNAIR ASAINI MKATABA KUENDELEA KUICHEZEA MAN UNITED MPAKA 2017

Paddy McNair amesaini Mkataba mpya wa kumwezesha kuendelea kuichezea  Manchester United mpaka 2017 na hapa alikuwa akisaini akiwa na Meneja wa United Louis van Gaal

McNair amefurahia uongozi wa Kocha  Van Gaal kwenye Klabu hiyo ya  Old Trafford na kuongeza kuwa anafuraha kuwemo ndani ya Uteuzi wa kikosi cha Kwanza cha Kocha Van Gaal.
McNair alicheza mchezo kati yao Man United dhidi ya  Cambridge kwenye Ligi ya  FA Cup na kusonga hatua ya Raundi ya tano.

No comments:

Post a Comment