BUKOBA SPORTS

Thursday, February 12, 2015

PAUL LAMBERT ATIMLIWA ASTON VILLA BAADA YA VIPIGO VITANO MFULULIZO!


Aliyekuwa Meneja wa Klabu ya Aston Villa  Paul Lambert.
Aston Villa imemtimua kocha wake Paul Lambert baada ya Klabu hiyo kushuka kwenye Msiamo wa ligi kuu England na kuwa hatarini kushuka daraja
Villa ilipoteza mchezo kwa kupigwa Mabao mawili kwa sifuri na Hull city siku ya jumanne, ikiwa ni mechi yao ya 10 bila kuondoka na ushindi.
Mskoti huyu aliteuliwa mwaka 2012, Na kusaini mkataba ambao utamalizika mwezi June mwaka 2018. Kocha wa kikosi cha kwanza Scott Marshal na Kocha wa Magolikipa Andy Marshall wanashikilia nafasi ya Lambert kwa sasa.


Meneja huyo wa Villa Park alitimliwa jana Jumatano


Mmiliki Randy Lernerhad




Lambert, whose Villa side went 659 minutes without a top-flight goal, insisted he was proud of his time there

No comments:

Post a Comment