BUKOBA SPORTS

Sunday, April 12, 2015

JOSE MOURINHO AZITEGA TIMU PINZANI...KINYANG'ANYIRO CHA EPL KIKO WAZI KWA TIMU ZA "TOP 4"

Mkufunzi wa kilabu ya Chelsea Jose Mourinho amesema kuwa kinyang'anyiro cha kuwania ubingwa wa ligi ya EPL bado kiko wazi licha ya timu yake kuwa mbele na pointi saba mbali na mechi moja ambayo haijacheza.
Mourinho anaamini kuwa timu yoyote ambayo iko nyuma na pointi saba ama nane bado ipo katika kinyang'anyiro na kwamba hashangazwi na kushuka kwa Manchester City katika kupigania taji hilo.
Chelsea itamenyana na QPR ugenini leo jumapili katika debi ya Magharibi mwa London.

No comments:

Post a Comment