LA LIGA: ESPANYOL 0 vs 2 BARCELONA, NEYMAR NA LIONEL MESSI WAIPA USHINDI BARCA UGENINI LEO
Bao la kwanza la Barca lilifungwa na Neymar kipindi cha kwanza dakika ya 17 na bao la pili lilifungwa na Staa wao Lionel Messi katika kipindi hicho hicho dakika ya 25.Fowadi wa Barcelona Neymar akishangilia bao lake kipindi cha kwanza dakika ya 17.
No comments:
Post a Comment