BUKOBA SPORTS

Wednesday, April 29, 2015

FULL TIME: REAL MADRID 3 vs 0 ALMERIA, JAMES ATUPIA BAO LA KWANZA, ANCELOTTI AFURAHIA USHINDI NA KUWAPONGEZA VIJANA WAKE!

Mchezaji wa Real Madrid fowadi  James Rodríguez akishangilia baada kuziona nyavu za Almeria mwishoni mwa kipindi cha kwanza.

Bernabeu  leo tena shangwe!!

James akishangilia mbele ya Mashabiki Bernabeu usiku huu baada ya kuwaua wenzao Almeria

James Rodríguez dakika ya 44 kipindi cha kwanza anaipa bao la kuongoza Real kwa kufanya 1-0 dhidi ya Almeria.
Mauro Dos Santos (og) wamejifunga bao la pili dakika ya 49 kipindi cha pili na kufanya 2-0.
Álvaro Arbeloa aliwafungia bao la tatu Real Madrid dakika ya 84 na kufanya 3-0.

No comments:

Post a Comment