BUKOBA SPORTS

Wednesday, April 29, 2015

FULL TIME: LEICESTER CITY 1 vs 3 CHELSEA, DROGBA, TERRY NA RAMIRES WAISOGEZA BLUES KWENYE UBINGWA!!

Pamoja na Ushindi huu Jumapili Chelsea watakuwa kwao Stamford Bridge na wakiifunga Crystal Palace basi wao ndio Mabingwa wapya wakiwa na Mechi 3 mkononi kwani watazoa Pointi 83 ambazo hazitafikiwa na Arsenal ambao wana Pointi 67 na Mechi 5 mkononi.Yes!! Ubingwa wetu!!John Terry na Drogba wakipongezanaRamires akishashangilia bao lakeTerryTerry alipomalizia mpira kwa kufunga baoKepteni John Terry alifunga bao la pili dakika ya 79 kwa kufanya 2-1 dhidi ya wenyeji Leicester City. Dakika ya 83 Ramires alifunga bao la 3 na kufanya 3-1, Ushindi huu unaipaisha zaidi Kileleni Chelsea kwa kupata pointi 80 na wa pili akiwa ni Arsenal mwenye pointi 67 akilingana kwa pointi na City. Leceister City wamebaki nafasi ya 17 wakiwa na pointi 31. Chelsea wanaelekea Ubingwa ambao waliutwaa miaka mitano iliyopita tangu 2010.
Hazard TaswiraKipindi cha pili dakika ya 48 Didier Drogba aliisawazishia bao Chelsea na kufanya 1-1.
Marc Albrighton dakika ya 45 aliwapa bao Wenyeji Leicester City
Marc Albrighton akishangilia bao lake la pekee Kipindi cha kwanzaJose kwenye pozi na Shabiki kwenye picha ya selfieVIKOSI:
Leicester City starting XI: Schmeichel, Wasilewski, Huth, Morgan, Albrighton, King, Cambiasso, Drinkwater, Konchesky, Vardy, Ulloa 
Akiba: Schwarzer, De Laet, Hammond, James, Mahrez, Wood, Kramaric
Chelsea starting XI: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Matic, Willian, Fabregas, Hazard, Drogba

Akiba: Courtois, Filipe Luis, Zouma, Ake, Mikel, Oscar, Cuadrado

LEICESTER CITY WALIPO NAFASI YA 17

No comments:

Post a Comment