BUKOBA SPORTS

Saturday, April 11, 2015

SUNDERLAND 1 vs 4 CRYSTAL PALACE, YANNICK BOLASIE AFUNGA HAT-TRICK NDANI YA DAKIKA 10 LEO UGENINI STADIUM OF LIGHT!

Crystal Palace BAO zake zilifungwa na Glenn Murray dakika ya 48, Yannick Bolasie dakika ya 51,Yannick Bolasie dakika ya 53 na bao la nne lilifungwa tena na yeye mwenyewe Yannick Bolasie dakika ya 62 kipindi cha pili na kuhitimisha Hat-trick ugenini leo dhidi ya Sunderland ambao walikuwa kwao Stadium of Light.
Bao la pekee la Sunderland limefungwa na Wickham dakika ya mwishoni ya 89 na mtanange kumalizika kwa 4-1.
Glenn Murray  Mchezaji wa Crystal Palace alipongezwa baada ya kupata bao la kwanza 
Patashika zikiendelea za mashambulizi..

Bolasie akishangilia bao lake baada ya kufunga bao la pili na kufanya 2-0
Bolasie amefunga Hat-trick leo

Ndani ya Uwanja wa Stadium of Light hapakutosha leo...wenyeji Sunderland wamebamizwa bao za kutosha!
Jason Puncheon wa Crystal Palace akichuana na  Jack Rodwell kwenye Ligi kuu leo EPL

Lee Cattermole akimbana James McArthurleo kwenye Mchezo wao ambao Umemalizika kwa bao 4-1 dhidi ya wenyeji Sunderland.

No comments:

Post a Comment