BUKOBA SPORTS

Monday, May 4, 2015

BOURNEMOUTH WASHEREKEA KUPANDA LIGI KUU ENGLAND MSIMU 2015-2016

Wachezaji wa Timu ya AFC Bournemouth wakiwa kwenye basi la Wazi kusherekea kupanda Ligi Kuu England msimu wa 2015/16Raha za kupata Kombe na kupanda Ligi kuu Mwenyekiti wa Timu hiyo Bw. Jeff akishangilia akiwa kabeba KombeMascot wa Timu ya Bournemouth nae akisherekea vyema...Tommy E. na Mambo yake hatari!!Raha za kupanda Ligi kuuMashabiki wa Timu ya Bournemouth iliyopanda Ligi wakiwashangilia wapendwa waoMashabiki wakitoa sapoti zao kwa Timu huku wakiwa na raha za Kupanda LigiTimu ya Bournemouth ndiyo iliyoongoza Ligi hiyo na sasa wanasubiri Ligi Kuu England kumalizika na kuweza kupatiwa Ratiba kujua wataanza na nani msimu mpya wa 2015/16.Mashabiki walishangilia mpaka Ufukweni

No comments:

Post a Comment