Friday, July 31, 2015

KAGAME CUP 2015: FULL TIME, KCCA 0 vs 1 AZAM FC, PASCAL WAWA AIPELEKA AZAM FAINALI. KUKUTANA NA GOR MAHIA USO KWA USO!


Beki wa Azam FC, Abbas Mudathir Yahya akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji wa timu ya KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)

Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akichuana na beki wa KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Beki wa Azam FC, Agrey Morris akichuana na beki wa KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Beki wa Azam FC, Agrey Morris akichuana na beki wa KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akichuana na mchezaji wa KCCA, Awany Timothy katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco (kulia) akimtoka beki wa KCCA, Ochaya Joseph katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Beki wa Azam FC, Agrey Morris akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa KCCA, Habib Kavuma katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment