BUKOBA SPORTS

Saturday, September 12, 2015

ARSENAL 2 vS 0 STOKE CITY

Theo Walcott akishangilia bao lake la dakika ya 31 kipindi cha kwanza. Giroud dakika ya 85 aliwapachikia bao la pili kwa kichwa baada ya kupigwa kona na kufanya matokeo kuwa 2-0 dhidi ya Stoke City.

No comments:

Post a Comment