LA LIGA: ATHLETIC BILBAO 1 vs 2 REAL MADRID, KARIM BENZEMA AIPA USHINDI REAL UGENINI!
Athletic Bilbao bao lao lilifungwa na Sabin dakika ya 67, Real Madrid bao zao zote mbili zimefungwa na Karim Benzema dakika ya 19 na Karim Benzema alifunga tena bao dakika ya 70.
No comments:
Post a Comment