Ligi Daraja la Kwanza nchini (StarTimes First League) inaendelea wikiendi hii kwa makundi yote matatu kucheza, michezo 11 itachezwa leo Jumamos na kesaho Jumapili katika viwanja mbalimbali nchini.
LEO Jumamosi Kundi A, Ashanti United watakua wenyeji wa Mji Mkuu (CDA) katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam, KMC watawakaribisha Polisi Dodoma katika uwanja wa Mabatini – Mlandizi.
No comments:
Post a Comment