Jurgen Klopp, Leo ameanza himaya kwa Sare ya Ugenini ya 0-0 huko White Hart Lane Jijini walipocheza na Tottenham Hotspur katika Mechi ya Ligi Kuu England.
Akitumia Mfumo wa 4-3-2-1 ambao aliupenda tangu akiwa huko Germany na Borussia Dortmund, Klopp alikosa ushindi licha ya kumiliki Mpira Zaidi ya Wenyeji wao na hili pengine ni kukosa Mastraika baada ya Benteke na Sturridge kutocheza kwa kuwa ni Majeruhi na kumtumia chipukizi Origi aliesaidiwa toka pembeni na Lallana na Coutinho.
Tottenham XI: Lloris, Walker, Alderweireld, Vertonghen, Rose, Alli, Dembele, Chadli, Eriksen, Lamela, Kane.
Subs: Vorm, Davies, Trippier, Wimmer, Clinton, Townsend, Winks
Liverpool XI: Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Can, Lucas, Milner, Lallana, Coutinho, Origi.
Subs: Bogdan, Toure, Allen, Ibe, Sinclair, Teixeira, Randall.
No comments:
Post a Comment