BUKOBA SPORTS

Saturday, January 30, 2016

FULL TIME: CHICKEN IN 1 v 3 AZAM FC

Mabingwa wa Zimbabwe wadundwa 3-1 na Azam Fc ya Tanzania leo.
Kipre Tchetche kafunga bao la pili kwa mkwaju wa penati wakati lile la 3 na la mwisho wamejifunga wao wenyewe. 
Mechi inayofuata kwa Azam Fc itachezwa tarehe 2  siku ya Jumanne.

No comments:

Post a Comment