Alexis Sanchez na Calum Chambers waipa Gunners ushindi leo
Mabingwa Watetezi wa FA CUP, Arsenal, Leo wametinga Raundi ya 5 ya Kombe hilo kwa jasho baada ya kuifunga Timu ya Daraja la chini Burnley 2-1 Uwanjani Emirates.
Calum Chambers aliipa Arsenal Bao la kwanza Dakika ya 19 na Burnley kurudisha Dakika ya 30 kwa Bao la Sam Vokes.
Bao la pili na la ushindi kwa Arsenal lilipigwa Dakika ya 53 na Alexis Sanchez.
Mbele ya Mashabiki 59,932
Arsenal bao lake limefungwa na Calum Chambers 19 huku
Burnley bao lake limefungwa na Sam Vokes dakika ya 30.
Hadi Mapumziko
No comments:
Post a Comment