FA CUP: ASTON VILLA 0 v 4 MANCHESTER CITY....CITY WAUNGANA NA WENZAO KATIKA RAUNDI YA 5 WAKIICHAPA VILLA KWAKE VILLA PARK!
Manchester City wakicheza kwenye Uwanja wa Villa Park England Bao za City mbili zimefungwa na Kelechi Iheanacho dakika ya 4 huku bao pili akilifunga dakika 24 Kelechi Iheanacho kwa mkwaju wa penati. Kelechi Iheanacho akishangilia moja ya bao lake
No comments:
Post a Comment