BUKOBA SPORTS

Saturday, January 30, 2016

FA CUP: LIVERPOOL 0 v 0 WEST HAM UNITED, HAKUNA MBABE... KURUDIANA!!

Kipa wa West Ham Darren Randolph kawalinda sana West Ham langoni kwa kuokoa michomo na mapande yaliyokuwa yanapigwa na Majogoo wa Anfield na kusababisha Timu hizo kuja kurudiana lakini pia zitakuwemo kwenye Droo ya Raundi ya tano kujua nani mpinzani wao kati yao.Hakuna bao mpaka sasa kipindi cha kwanza kinamalizika.

No comments:

Post a Comment