Congo DR, walitwaa Kombe hili mara ya kwanza Mwaka 2009, na Leo waliongoza 1-0 hadi Haftaimu kwa Bao la Meschack ambae pia alifunga Bao lao la pili Kipindi cha Pili na Bolingi kupata la 3.

ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 30
Rwanda 1 v Congo DR 2 [Congo DR 2 Rwanda 1 baada ya Dakika za Nyongeza 30]
Cameroun 0 v Ivory Coast 0 [Ivory Coast 3 Cameroun 0 baada ya Dakika za Nyongeza 30]
Jumapili Januari 31 Tunisia 1 vs Mali 2
Zambia 0 vs Guinea 0 [0-0 baada ya Dakika za Nyongeza 30, Guinea wasonga Penati 6-5]
NUSU FAINALI
Jumatano Februari 3
Congo DR 0 v Guinea 0 [1-1 baada ya Dakika 120, Congo DR yashinda kwa Penati 5-4]
Alhamisi Februari 4
Mali 1 v Ivory Coast 0
Jumapili Februari 7
Mshindi wa 3
Guinea 1 v Ivory Coast 2
FAINALI
Congo DR 3 vs Mali 0
No comments:
Post a Comment