Chelsea wamepanda hadi Nafasi ya 11 baada kutoka nyuma kwa Bao 1-0 na kuifunga Southampton 2-1 huko Uwanjani Saint Mary.
Shane Long aliipa Southampton Bao la kuongoza katika Dakika ya 42 lakini Bao za Cesc Fabregas, Dakika ya 75, na Branislav Ivanovic, Dakika ya 89, zimewakomboa Chelsea.
Southampton: Forster, Cedric, van Dijk, Fonte, Targett, Bertrand, Romeu, Clasie, Steven Davis, Austin, Long.
Akiba: Yoshida, Mane, Tadic, Martina, Ward-Prowse, Pelle, Stekelenburg.
Chelsea: Courtois, Azpilicueta, Cahill, Ivanovic, Baba, Mikel, Fabregas, Willian, Hazard, Pedro, Costa.
Akiba: Begovic, Oscar, Traore, Kenedy, Remy, Matic, Loftus-Cheek.
Refa: Martin Atkinson
No comments:
Post a Comment