FULL TIME, UEFA CHAMPIONS LEAGUE: JUVENTUS 2 v 2 BAYERN MUNICH, PAULO DYBALA NA STEFANO STURARO WAIBANA BAYERN KISAWASAWA KWA KUSAWAZISHA BAO ZOTE MBILI!
Juve wanatoka nyuma ya bao 2-0 na kusawazisha bao zote mbili na kufanya 2-2 dhidi ya Bayern Munich, aliyesawazisha bao ni Stefano Sturaro dakika ya 76.
Kiindi cha pili dakika ya 63 Paulo Dybala aliipa Juve bao nakufanya matokeo kuwa 2-1. Kipindi cha pili dakika ya 55 Arjen Robben aliipa bao la pili na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Juventus. Thomas Müller dakika ya 43 anaipachikia bao la kuongoza Bayern Munich.Patrice Evra (kushoto) na Franck Ribery kwenye michapo mifupi kabla ya kipute kuanza usiku huu!
No comments:
Post a Comment