
Ronaldo (kushoto) akishangilia bao lake dakika ya 57
Cristiano Ronaldo dakika ya 57 kipindi cha pili anaipachikia bao maridadi na kufanya 1-0 dhidi ya AS Roma baada ya kutokea ushirikiano safi dhidi ya Marcelo. Bao la pili kalifunga Jese dakika ya 86 na kufanya 2-0 dhidi ya Roma baada ya kupata mpira kutoka kwa Luka Modric.


Kipindi cha kwanza kinaendelea..
VIKOSI:
Roma wanaoanza XI: Szczesny, Rudiger, Digne, Manolas, Nainggolan, Pjanic, Vainqueur, Florenzi, Perotti, Salah, El Shaarway
Roma akiba: De Sanctis, Maicon, De Rossi, Keita, Dzeko, Totti, Falque
Real Madrid wanaoanza XI: Navas, Varane, Ramos, Marcelo, Carvajal, Kroos, James, Modric, Isco, Ronaldo, Benzema
Real Madrid akiba: Casilla, Nacho, Danilo, Casemiro, Kovacic, Lucas Vazquez, Jese

Cristiano Ronaldo wa Real Madrid akiwasili Stadio Olimpico

Meneja mpya wa Real Madrid boss Zinedine Zidane kuanza kuifunza real kwenye mtanange wa Champions Ligi wa kwanza hii leo

Stephan El Shaarawy wa Roma tayari kuanza kukaba hii leo

Mkongwe wa Roma Francesco Totti akiwasili Stadio Olimpico
No comments:
Post a Comment