Cristiano Ronaldo
Ronaldo na bao 350 akiwa na Real Madrid President Florentino Perez baada ya mechi
kibindoni hat-trick
Gareth Bale katupia moja
Real Madrid bao zake zimefungwa na
Pepe 41' •
Cristiano Ronaldo 50' •
Cristiano Ronaldo 58' •
Cristiano Ronaldo 64' •
Cristiano Ronaldo 76' •
Jesé 77' •
Gareth Bale 81' •
Celta Vigo bao lake la pekee limefungwa na
Iago Aspas 62'
Kipindi cha pili Ronaldo alipachika bao la pili na kufanya 2-0 na dakika ya 58 Ronaldo alifunga bao la tatu na kufanya 3-0 kwa mpira wa adhabu ulioingi moja kwa moja ndani ya lango la wapinzani wao Celta Vigo.
Pepe dakika ya 41 ndie aliyeitangulizia bao Real Madrid kwa kichwa na kwenda mapumziko ikiwa mbele Real dhidi ya Celta Vigo
No comments:
Post a Comment