BUKOBA SPORTS

Tuesday, May 17, 2016

BASTIAN SCHWEINSTEIGER, PODOLSKI WAUNGANISHWA KWENYE KIKOSI CHA UJERUMANI EURO 2016!


KOCHA wa Timu ya Taifa ya Germany amemteua Nahodha wa Timu hiyo Bastian Schweinsteger kuwemo kwenye Kikosi cha Nchi hiyo kwa ajili ya Fainali za Mataifa ya Ulaya EURO 2016 licha ya kuwa Majeruhi. Schweinsteiger aliumia akiwa na Timu ya Germany Mwezi Machi kuelekea Mechi ya Kirafiki waliyofungwa na England 3-2.
Tangu wakati huo Mchezaji huyo amekuwa haichezei hata Klabu yake Manchester United akiuguza Goti lake.
Wachezaji wengine waloitwa Kikosini ni pamoja na yule wa Liverpool, Emre Can, Kiungo wa Arsenal Mesut Özil na Fowadi wa zamani wa Arsenal Lukas Podolski. Pia wapo Wachezaji Watatu ambao hawajawahi kabisa kuichezea Germany ambao ni Joshua

Provisional 27-man Germany squad for Euro 2016
Goalkeepers: Manuel Neuer (Bayern Munich), Bernd Leno (Bayer Leverkusen), Marc-Andre ter Stegen (Barcelona)
Defenders: Jerome Boateng (Bayern Munich), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Emre Can (Liverpool), Jonas Hector (Cologne), Benedikt Howedes (Schalke), Shkodran Mustafi (Valencia), Sebastian Rudy (Hoffenheim), Antonio Rudiger (Roma)
Midfielders: Mario Gotze (Bayern Munich), Mesut Ozil (Arsenal), Sami Khedira (Juventus), Toni Kroos (Real Madrid), Karim Bellarabi (Bayer Leverkusen), Julian Brandt (Bayer Leverkusen), Julian Draxler (Wolfsburg), Joshua Kimmich (Bayern Munich), Bastian Schweinsteiger (Manchester United), Julian Weigl (Borussia Dortmund)
Forwards: Thomas Muller (Bayern Munich), Andre Schurrle (Wolfsburg), Lukas Podolski (Galatasaray), Mario Gomez (Besiktas), Marco Reus (Borussia Dortmund), Leroy Sane (Schalke)

No comments:

Post a Comment