BEN POL akicheza na mashabiki zake jukwaani wakati wa tamasha la nyama choma katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam
Mashabikiwa muziki wa bongo fleva wakishangilia wakati Benpol anatumbuiza kibao chake cha MOYO MASHINE
Baadhi ya mawakala wa tigo waliokuwepo katika viwanja vya Leaders kutoa msaada na huduma mbali mbali toka tigo ikiwemo huduma za intaneti ya kasi ya Tigo 4G LTE
Wakala wa tigo akisajili laini ya mteja katika tamasha la Nyama choma mapema jana usiku katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaam. Mtangazaji wa Choice fm na mshindi wa Bigbrother 2014 Idris sultan akifurahi jambo na Mcheza kikapu wa kimataifa Hasheem Thabit wakati wa Tamasha la Nyama Choma lililofanyika mapema jana usiku katika viwanja vya leaders jijini Dar es salaam.
Msanii mahiri wa Bongo fleva Vanessa Mdee akiongea jambo na mmoja wa shabiki zake katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaam
Mabanda ya tigo yaliyokuwepo uwanjani katika kutoa huduma mbalimbali kwa wateja wa tigo waliofika katika tamasha la Nyama Choma
Mmoja wa wapishi wa nyama akichoma nyama wakati wa tamasha la Nyama Choma mapema jana katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam.
Wadau wakiendelea kufurahia muziki na kula nyama choma katika tamasha liliofanyika mapema jana
Maelfu ya wakazi waliofika katika tamasha wakifurahia muziki toka kwa wasanii mbali mbali waliotumbuiza jukwaani
No comments:
Post a Comment