Louis van Gaal Ametimuliwa na Klabu ya Man United leo siku mbili baada ya kunyakuwa Kombe la FA
Van Gaal alipigwa picha akiwa kwenye Gari huko Aon Training Complex leo Jumatatu asubuhi ambapo leo hii hii kafukuzwa kazi.
Employment lawyer Paul Gilroy QC akiwasili kwenye Maeneo ya Carrington kumalizia swala la Van Gaal kuondoka Old Trafford.
Van Gaal akiwa kabeba Mwali wa Kombe la FA Cup Juzi jumamosi
Kocha wa Makipa Frans Hoek (kushoto na Albert Stuivenberg (kulia) nao wametimliwa pamoja na Van Gaal, Huku Ryan Giggs (wa pili kushoto) akisalia kwenye Klabu
Picha ya Pamoja na Van Gaal
Jose Mourinho (anatarajiwa kushika wadhifa wa Van Gaal kwenye Klabu ya Man United)
Mourinho
No comments:
Post a Comment