
Salhi Y. Dakika ya 20 kipindi cha kwanza aliwafunga Yanga ya Tanzania.
Mchezo huu pia Yanga wameumaliza wakiwa pungufu baada ya mchezaji wake mmoja kuoneshwa kadi nyekundu.
MSIMAMO:
1. Mazembe 1 1 0 0 3:1 3
2. MO Bejaia 1 1 0 0 1:0 3
3. Young Africans 1 0 0 1 0:1 0
4. Medeama 1 0 0 1 1:3 0
KIKOSI CHA YANGA:
1: Deo Dida
2: Mbuyu Twite
3: Oscar Joshua
4: Kelvin Yondani
5: Vicent Bossou
6: Thabani Kamusoko
7: Simon Msuva
8: Harouna Niyonzima
9: Donald Ngoma
10: Hamic Tambwe
11: Deus Kaseke
SUBSTUTE:
- Antony Matheo
- Juma Makapu
- Godfrey Mwashiuya
- Ally Bathez
- Mwinyi Ngwali
- Pato Ngonyani
No comments:
Post a Comment