MEYA WA DENIMARK AZULU SHULE YA JOSIAH GIRLS' HIGH SCHOOL BUKOBA LEO
Meya wa Morsoe Nchini Denimark(katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi waandamizi wa Shule ya Josiah Girls pamoja na viongozi walioambatana na Meya leo Shuleni. Meya akiweka Sahihi kwenye kwenye Kitabu cha kumbukumbu Shuleni hapo Josiah Shule ya Josiah Girls High School ipo Manispaa ya Bukoba
Kata ya Ijuganyondo Kilometa kama 7 kutoka Bukoba Mjini. Shule ipo
maeneo mazuri ambayo umfanya Mwanafunzi kuwa makini na Masomo kwani
Shule hiyo ipo Eneo la nje ya Mji nambako hakuna mwingiliano kitu
ambacho ufanya Wanafunzi wa Shu;le hiyo kufanya vyema kwenye masomo yao
na kwenye mitihani pia kiujumla. Shule ya Josiah ina Kidato cha kwanza mpaka cha Sita, Pia ni Miongoni mwa shule chache hapa Nchini Tanzania ambazo zimejichukulia Sifa kemkem kwa kufaulisha Wanafunzi wengi na huku wakijulikana zaidi kwa kutumia Vifaa vya kisasa Shuleni hapo. Leo Jumatatu 13 juni, 2016 Meya wa Morsoe Nchini Denimark
ametembelea Shule hiyoya Wasichana inayofanya vyema Kimkoa na Kimtaifa
kimaomo. Leo Jumatatu 13 juni, 2016 Meya wa Morsoe Nchini Denimark ametembelea Shule hiyoya Wasichana inayofanya vyema Kimkoa na Kimtaifa kimaomo.
No comments:
Post a Comment