EURO 2016: GERMANY 1 vs 1 ITALY(PENATI 6-5) GERMANY WASONGA MBELE NUSU FAINALI KWA MATUTA!
Mikwaju ya penati yawasogeza Nusu Fainali Ujerumani dhidi ya Italy kwa penati 6-5Germany, Italy walazimika kwenda dakika 120 baada ya ya sare ya dakika 90. Mikwaju ya penati ilifuata baada ya dakika 120 kutoka bila kufungana.1-1Dakika ya 78 Bonuccu aliwasawazishia bao Italy kwa mkwaju wa penati na kufanya Germany 1-1 ItalyGermany 1-0 ItalyOzil kaifungia bao Germany kipindi cha pili dakika ya 65
No comments:
Post a Comment