
Higuain mwenye umri wa miaka 28, amekuwa akitajwa kuwindwa na klabu za Juventus na Arsenal huku akiwa amewekewa kitenzi cha euro milioni 94 katika mkataba wake.
De Laurentiis amesema Atletico ndio timu pekee iliyotuma ofa yao, na kutoa ofa ya euro milioni 60 na wachezaji wawili au watatu.
Juventus pia wameripotiwa kuanza mazungumzo wiki hii lakini De Laurentiis amepuuza tetesi hizo akidai kuwa hadhani kama wanaweza kuwauzia wapinzani wao.
No comments:
Post a Comment