VPL...KAGERA SUGAR 2 v 0 TANZANIA PRISONS, ALLY NASSORO NA DANNY MRWANDA WAIPA USHINDI KAGERA LEO KAITABA.
Dakika ya 25 kipindi cha kwanza Ally Nassoro kaifungia bao la kuongoza Kagera Sugar. Kagera Sugar 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons. Danny Mrwanda dakika ya 70 aliiongezea bao la pili na mtanange kumalizika dakika 90 kwa bao 2-0, Kagera Sugar wakiibuka kidedea kwenye Dimba lao la Kaitaba BAO.... Mashabiki wa Kagera wakishangilia 2-0
No comments:
Post a Comment