Hat-trick ya Jamie Vardy imewapa Mabingwa Watetezi wa EPL, LIGI KUU ENGLAND, Leicester City, ushindi wa Bao 4-2 walipocheza na Manchester City Uwanjani King Power.
Leiocester waliongoza 2-0 ndani ya Dakika 5 za kwanza na kuwa 3-0 mbele ndani ya Dakika 20 na Bao hizo kudumu hadi Haftaimu.
Kipindi cha Pili Leicester walifunga Bao lao la 4 na kuwa 4-0 mbele.
Mwishoni, Frikiki ya Aleksandar Kolarov na Bao la Nolito liliwapa City Bao za 2.
Ushindi huo umeondoa ukame wa Magoli wa Mechi 10 za EPL kwa Straika Jamie Vardy na pia kuipa ushindi wa kwanza Leicester katika Mechi 4 za Ligi na kupanda hadi Nafasi ya 14.
Kwa City hiki ni kipigo chao cha Pili mfululizo na wanabaki Nafasi ya 4.
VIKOSI:
Leicester City (Mfumo 4-4-2): Zieler; Simpson, Huth, Morgan, Fuchs; Mahrez, Amartey, King, Albrighton; Vardy, Slimani.
Akiba: Hamer, Chilwell, James, Mendy, Gray, Musa, Okazaki.
Manchester City (Mfumo 4-1-4-1): Bravo; Zabaleta, Sagna, Stones, Kolarov; Fernando; Navas, Gundogan, De Bruyne, Silva; Iheanacho.
Akiba: Caballero, Sterling, Nolito, Sane, Clichy, Toure, Adarabioyo.
REFA: Michael Oliver

No comments:
Post a Comment