FULL TIME: MANCHESTER UNITED 1 vs 0 TOTTENHAM HOTSPUR, HENRIKH MKHITARYAN AIPA USHINDI UNITED NYUMBANI OLD TRAFFORD!
Baadhi ya Wachezaji wa Man United wakipongezana kwa bao kipindi cha kwanza lililofungwa na Henrikh Mkhitaryan Dakika ya 29 dhidi ya Spurs.Henrikh Mkhitaryan Dakika ya (29' kipindi cha kwanza aliwapachikia bao la kuongoza wenyeji Man United.
No comments:
Post a Comment