1-1Kipa wa Liverpool akijaribu kuokoa mpira wa kichwa uliopigwa na Zlatan Ibrahimovic bila maanikio dakika za majeruhi 84 na mtanange kumalizika kwa sare ya bao 1-1. Bao la Liverpool lilifungwa kwa mkwaju wa Penati na Milner dakika ya 27 baada ya Pogba kuunawa wakati anaruka juu kuwania.Liverpool wakipeta kwa bao
No comments:
Post a Comment