
Uteuzi huo wa Conte ulitangazwa Jumatatu Usiku kwenye Hafla ya 25 ya Chakula cha Usiku iliyofanyika huko London na kukabidhiwa Kombe ambalo sasa linaitwa SIR ALEX FERGUSON TROPHY.

Conte, akiwa kwenye Msimu wake wa kwanza tu na Chelsea, ambayo Msimu uliopita ilimaliza Nafasi ya 10 kwenye EPL, kutwaa Ubingwa wa England.

Nae Chris Hughton ametwaa Tuzo ya Meneja Bora wa Mwaka kwenye Daraja la Championship baada kuiwezesha Brighton kupanda Daraja na kutua EPL.
Kutoka Ligi 1, Meneja Bora ni Bosi wa Sheffield United Chris Wilder kwa kuisaidia Northampton kupanda Daraja na kuingia Championship.

No comments:
Post a Comment