BUKOBA SPORTS

Tuesday, May 9, 2017

FULL TIME VPL: YANGA 2 vs 1 KAGERA SUGAR, CHIRWA AIPA USHINDI YANGA NA KUUSOGELEA UBINGWA!

Bao la Chirwa limeipa ushindi Timu ya Yanga na kuzidi kuusogelea Ubingwa wa Ligi Vodacom dhidi ya Timu ya Nkurukumbi Kagera Sugar. Ushindi huu wa bao 2-1 pia unawarejesha Yanga Kileleni.
 
Obrey Chirwa dakika aya 52 aliipatia bao la kuongoza Yanga na kufanya bao kuwa 2-1 dhidi ya Kagera Sugar.Simon Msuva wa Yanga aliipatia bao kipindi cha dakika ya 38 kwa kichwa baada ya kupigwa kona,
Mbaraka Abeid Yusuph dakika ya 45+5 aliisawazishia bao Kagera Sugar na mtanange kwenda mapumziko kwa sare ya 1-1. 

Kipindi cha pili kinaendelea kwa sasa bado ni 1-1

No comments:

Post a Comment