Valencia, mwenye Miaka 31 na ni Mchezaji wa Kimataifa kutoka Ecuador, ameichezea Man United Mechi 43 Msimu huu nan die alikuwa Kepteni Juzi Jumatano wakati Man United inaichapa Ajax 2-0 kwenye Fainali na kubeba UEFA EUROPA LIGI huko Stockholm, Sweden.
Valencia alijiunga na Man United Mwaka 2009 akitokea Wigan.
No comments:
Post a Comment