CHEICK TIOTE AFARIKI DUNIA AKIWA KWENYE MAZOEZI
Mchezaji wa Kimataifa wa Ivory Coast na Mchezaji wa zamani wa Klabu ya England Newcastle United, Cheick Tiote alikufa Jumatatu baada ya kuzirai wakati wa mazoezi na klabu yake ya Beijing Enterprises. Tiote Alikuwa na miaka 30.
No comments:
Post a Comment