REAL MADRID MABINGWA, WAICHAPA JUVENTUS BAO 4-1. RONALDO AFUNGA BAO MBILI
Real
Madrid Leo wamekuwa Timu ya Kwanza kumudu kutetea Ubingwa wao baada ya
kuitandika Juventus Bao 4-1 kwenye Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI
iliyochezwa huko Millenium Stadium, Jijini Cardiff, Wales.
No comments:
Post a Comment