ALEXIS SANCHEZ AJIFUA NA WENZAKE TAYARI KWA MCHEZO WAO BOURNEMOUTH
Alexis Sanchez akiwa kwenye mazoezi na wenzake tayari kwa kuwavaa Bournemouth. Sanchez alikuwa anahusishwa kuihama Arsenal kwenda Manchester City mwezi uliopita Sanchez anategemewa kuanza mchezo dhidi ya Bournemouth kesho jumamosi Mesut Ozil Ozil Jack Wilshere dhidi ya Hector Bellerin Meneja wa Arsenal Arsene Wenger
No comments:
Post a Comment