Anthony Martial ndie aliyewafungia bao la pekee Man United kwenye ushindi leo huko ugenini kwenye Uwanja wa Burnley -Turf Moor.
Anthony Martial akiachia shuti kali kumfunga kipa wa Burnley kipindi cha pili dakika ya 55 yamchezo huku kipindi cha pili chote wakionekana kupteana United kwa kutolenga hata shuti moja langoni mwa wenyeji wao Burnley.

Martial akimkwepesha shuti Nick Pope kumfunga mlinda mlango

Martial akipeta baada ya kufunga bao

Mourinho na Pogba wakiusoma mchezo na kupeana neno kama njia mbadala

Pogba akioneshwa kadi nyekundu

Meneja wa Burnley Sean Dyche akiamsha mashabiki baada ya kuona mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza 0-0.
No comments:
Post a Comment