Pep Guardiola kaanza kupata kombe la kwanza akiwa Man City leo hii kwenye Uwanja wa Wembley
Sergio Aguero, Vincent Kompany na David Silva
Nicolas Otamendi, Ilkay Gundogan na Vincent Kompany wakipongeza kwa mabao 3-0 waliyopata leo hii kwenye Uwanja wa Wembley.
Vincent Kompany akishangilia bao lake mbele ya Danny Welbeck
Wachezaji wa Arsenal wakiwa hawana raha baada ya kunyukwa bao 3-0 na Man City
No comments:
Post a Comment