BUKOBA SPORTS

Sunday, February 25, 2018

PEP GUARDIOLA AANZA KUBEBA MAKOMBE LEO, WAIFUNGA ARSENAL BAO 3-0 WEMBLEY


Sergio Aguero akishangilia bao lake na  Leroy Sane dakika ya 19 baada ya kuitanguliza Man City mbele.

Bao la 30 kwa msimu huu kwa Manchester City na likiwa la 199tangu atue klabuni hapo mwaka  2011.
Laurent Koscielny, Aguero wakiucheki mpira katikati huku Aguero akionekana zaidi Aguero alipofunga bao la 30 dhidi ya kipa  David Ospina
Shangwe kwa Aguero
Meneja  Arsene Wenger na Pep Guardiola wakisalimiana
Kazi kazi...kwa Mameneja.
Vincent Kompany akishangilia bao lake hukoWembley
2-0
Kompany akishangilia bao lake baada ya ukame
Kompany alipofunga bao.
Wakampongeza hapa kwa bao
David Silva alifunga bao la tatu
Silva akishangilia bao lake
Silva akipongezana na wachezaji walioko benchi
Hoi!!! wakionekana kuzidiwa kila kitu na Man City!

No comments:

Post a Comment